Ndio kusema na Mwaka huu Ubingwa tumeukosa Tena?

Simba lunyasi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
385
Reaction score
840
Mpira wa miguu mara zote unatakiwa kushinda Mechi zako halafu unasonga mbele. Haya mambo ya kushindwa kushinda mechi zakot halafu uanze kuombea wengine wafungwe ni uchawi tosha.

Ushauri wangu tuwekeze nguvu zetu Azam federation cup huko ndiko kwenye matumaini hai ya kuondoka na kombe vinginevyo na huu mwaka tutaondoka kapa
 
Kwa mchezo wa Leo naona timu bado sio mbaya, mambo machache yakifanyiwa kazi kama Right selection ya wachezaji nahisi tutarudi kwenye makali yetu ya siku zote.
 
Mpira wa miguu mara zote unatakiwa kushinda Mechi zako halafu unasonga mbele. Haya mambo ya kushindwa kushinda mechi zakot halafu uanze kuombea wengine wafungwe ni uchawi tosha...
Yanga alisubiri miaka mi4, nyie miwili tu mshachoka
 
Gape la point 8 ni sawa na kisu kugonga kwenye mfupa, bingwa anasubiliwa kutangazwa tu akuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…