TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Nilikuwa nausubiri sana huu mwaka 2025 coz ilikuwa Aprili niende abroad kwa masomo ya juu zaidi kwangu. Lakini leo nimepokea taarifa kwamba ufadhili wangu huo umesogezwa mbele ni mpaka mwakani.
Huu ufadhili nimeusubiri kwa mwaka mzima na ndio ilikuwa achievement yangu ya 2025.
Na wewe umepigwa na kitu kizito kilichopelekea kutamani huu mwaka uishe? Shea na sisi hapa tufarijiane.
Huu ufadhili nimeusubiri kwa mwaka mzima na ndio ilikuwa achievement yangu ya 2025.
Na wewe umepigwa na kitu kizito kilichopelekea kutamani huu mwaka uishe? Shea na sisi hapa tufarijiane.