Ndio kwanza nimefika

Habari zenu wadau
Mimi ndio nimejiunga na jukwaa msianze kuniuliza jinsia tukizoeana tutajuana vizuri huko mbele
Mkuu karibu usianze kujihami nitumie picha yako haraka kwenye pm yangu
 
Kwakweli huyu ni wa Daby kama sio yeye basi Bonny anahusika...

Hatuwezi kukubali kuuziwa kibudu kwenye kiroba
Ina maana mzee kwa ile avatr bado una mashaka na jinsia yake ile tumpe muda tutajua tu jinsi yake ila kwa sasa naamin ni wale wanaojisaidia haja ndogo huku wamechuchumaa
 
Ina maana mzee kwa ile avatr bado una mashaka na jinsia yake ile tumpe muda tutajua tu jinsi yake ila kwa sasa naamin ni wale wanaojisaidia haja ndogo huku wamechuchumaa
Kwahiyo tulifanyie kazi file lake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…