mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Ndio maana Kinje anatanua kwa sana na baba uake mzee Kingunge anakuwa mkali ukiwasema mafisadi kumbe hawa wanafamilia kila siku walikuwa wanaingiza fedha kiulaini kama Million mbili na ushee pale Kituo Kikuu cha Mabasi ubungo kila siku huko jiji likiambulia vijisumuni na hapo baado mradi wa kuegesha magari,kwa nini Kinje and Co asiwe nfanyabiashara mkubwa bana wakati ana mchongo wa bure wa kupata pesa? Hii ndio TZ bana na ndio maana watoto wa wakubwa wanakuwa kibri kwa kutegemea nafasi za wazazi wao ,lakini wakumbuke hakuna marefu yasiyo na mwisho huo ndo ushauri wa buure kabsa!