Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu hii sio sababu! Juu ya swala la kuweka kitu moyoni mimi naona inategemea na aina tu ya mtu.Wanawake wanakuwa hawana msongo mkubwa wa mawazo kwa kuwa huwa hatuweki kitu moyoni
tukisikia au tukiambiwa na sisi tunayasema kwa mwingine so moyo unakuwa hauna mzingo mzito,
mwanaume hata ukimwambia huyu mtoto siyo wako atakaa nacho moyoni hawezi kusema hata kwa baba yake mzazi
mwisho moyo unakuwa na mavitu mengi mwisho anaishia kupata magonjwa mazito na kuondoka mapema.