Mkubwa ndevu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,045
- 358
juzi nilienda polisi
kutaka kufungua kesi ya kumdai mtu ambaye ananizungusha kunilpa bt cha
kushangaza askari niliyemkuta counter akanijibu kuwa polisi hawaucki n
kesi za madai wao wannahucka n kesi za jinai tu bt akaniomba 5000tsh ili
amtishe huyo tapeli
ukikosa pesa mpe 0713....ili akusaidie kirahis make hawa jamaa bhana!!
ukikosa pesa mpe 0713....ili akusaidie kirahis make hawa jamaa bhana!!
ukikosa pesa mpe 0713....ili akusaidie kirahis make hawa jamaa bhana!!
mkuu kwa hiyo wewe ukiwa huna hela, unatumia 0713.. kupambana na maisha!