Silas Haki JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 368 Reaction score 39 Nov 2, 2010 #21 nyengo said: Mrema-hapo mbele Click to expand... Huyu Mrema usimhesabu kuwa mpinzani. Ni shushushu wa CCM na utaona atakavyokuwa anaunga mkono kila hoja inayoletwa mezani na watu wa JK.
nyengo said: Mrema-hapo mbele Click to expand... Huyu Mrema usimhesabu kuwa mpinzani. Ni shushushu wa CCM na utaona atakavyokuwa anaunga mkono kila hoja inayoletwa mezani na watu wa JK.
C Chesty JF-Expert Member Joined Aug 30, 2009 Posts 5,777 Reaction score 2,720 Nov 2, 2010 #22 Ami said: Yuko wapi dkt.slaa hapo? Click to expand... Magogoni, ila anaweza kuchakachuliwa cos NEC ya Kikwete. Referee ameteuliwa na mshindani wake na anareport kwake.
Ami said: Yuko wapi dkt.slaa hapo? Click to expand... Magogoni, ila anaweza kuchakachuliwa cos NEC ya Kikwete. Referee ameteuliwa na mshindani wake na anareport kwake.
Comrade Mpayukaji Senior Member Joined Sep 26, 2007 Posts 198 Reaction score 12 Nov 2, 2010 #23 Ami said: Yuko wapi dkt.slaa hapo? Click to expand... Dr. Slaa atakuwa Mh. Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!!!!!!!!! Picha mmeipata Vizuriii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ami said: Yuko wapi dkt.slaa hapo? Click to expand... Dr. Slaa atakuwa Mh. Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!!!!!!!!! Picha mmeipata Vizuriii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!