mmmmmmmmmmmmm, ahadi kibao, si wanajua wananchi wa tanzania ukiahidi basi umewamaliza, kwani wanataka nini baada ya kushinda kwenye jua kali bila kula wala kunywa chochote wakisubiri mgombea uraisi aje kuhutubi. mgombea ambaye muda wote alikuwa sehemu rasmi akila, kunywa huku akipilizwa na kiyoyozi, akisubiri aende kuwadanganya wananchi ambao ni ngazi yao kufikia malengo yao kisiasa. Wananchi wakisha pewa ahadi 'fake' watashangilia na kurudi majumbani mwao roho zao saaaafiiiiiii, na kula watampa.