NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Katika story za jioni baada ya kazi leo hii nimejifunza kitu kigeni nanyi ningependa kuwashirikisha.
Amini usiamini hadi sasa kuna makabila watu hulazimika kuoana wao kwa wao si kwa kupenda bali ni kuogopa kutengwa na ukoo.
Moja ya kabila hili ni Wasafwa, ni kabila kubwa Mbeya kwa kuwa na idadi ya watu wengi ila sababu kuu halivumi kwasababu ya kuwa nyuma kielimu, kiuchumi na kisiasa.
Hali ilivyo huko tamaduni zinaendelea za kuoana wao kwa wao, ndoa nje ya kabila huko ni kujitafutia kutengwa na ukoo!