Wakurya hawana noma, labda zamani huko kipindi ambacho kila kabila kwao walioana wao kwa wao.Hata wakurya hiyo tunayo sana, ila ujinga ujinga tu....! Tunabaguana wenyewe kwa wenyewe wakati binadamu ni wale wale tu haijalishi anatokea wapi
Ndio wale hawatahiriwi??Wapo Mbeya wanaitwa wasafwa, siwezi kusema ni ujinga bali wanaendeleza tamaduni ila zimekuwa mzigo sasa
Ndio maana wakurya wangi wajinga sana, kila saa wamefura kama vifutu.Hata wakurya hiyo tunayo sana, ila ujinga ujinga tu....! Tunabaguana wenyewe kwa wenyewe wakati binadamu ni wale wale tu haijalishi anatokea wapi
Kuna kitu wakurya walikufanya, sio bure!Ndio maana wakurya wangi wajinga sana, kila saa wamefura kama vifutu.
Wale watu wabinafsi mnoo mnoo...Kuna jirani yangu toka hilo kabila amezaa na mwanamke wa kabila Lengine huwa haendi na mkewe kwenye sherehe au misiba ya ndugu zake huko Kijiji kwao Mbeya, inawezekana hii ndio sababu!
Ila jamaa ana Imani za ushirikina na roho ya kwa nini kinoma (akipata mwingine anasonononeka kisha anakosa raha kabisa) Sasa sijui ni Kwa wote au la!
Sinaga shida nao kabisa, niko nao na huwa nawachana tunaishia kuchekaKuna kitu wakurya walikufanya, sio bure!
By the way, Wakurya tumechangamana na makabila mengi sana. Unafikiri huko ukonga na Kitunda tulifuata nini?
Dada zenu pia wanatupenda sana. Ukisikia "tall, dark and handsome" ujue tunazungumziwa sisi. Typical alpha male!
huko wanakokaa wakurya wanaishi kama bado wapo tarime in short wamehama location tu ila tamaduni zao bado zilezileWakurya hawana noma, labda zamani huko kipindi ambacho kila kabila kwao walioana wao kwa wao.
Ukitaka kujua kabila wanapenda kuoana wao kwa wao unaweza gundua kwamba hawapendi hata kutoka nje ya mikoa yao wanapenda kuishi sehemu zao za makabila, kwa wakurya wengi tu wamekuja Dar, nasikia hadi kuna mitaa wamejazana kama ilivyo kimara kwa wachaga.