ndio ndoa hizi

The Following 2 Users Say Thank You to De Novo For This Useful Post:

Asprin (Today), Teamo (Today)​

Kiongozi naona kiu ya Johnie Walker imeshakatika..

aisee ile kiu bado.... jana nimejaribu jack daniel, nikaona kama nakunywa karafuu tu aisee....

GADEMU!!!

BACK TO THE TOPIC, HAKUNA NDOA PERFECT NA HUYO DADA AMEJIFUNZA KWA VITENDO... NANI ALIMWAMBIA MWAFRIKA ANAPEWA SURPRISE??
 
aisee ile kiu bado.... jana nimejaribu jack daniel, nikaona kama nakunywa karafuu tu aisee....

GADEMU!!!

BACK TO THE TOPIC, HAKUNA NDOA PERFECT NA HUYO DADA AMEJIFUNZA KWA VITENDO... NANI ALIMWAMBIA MWANAUME WA KIAFRIKA ANAPEWA SURPRISE??

Nimekusaidia ku-edit kidogo hapo kwenye red. Labda watakuelewa zaidi..
 
Wifi lazima azirai!

Hakujua Kama mwanamme usimpe guarantee! Lol

wazee wa zamani hawakukosea.... Usirudi kwaki usiku na hakikisha unatoa taarifa ya ujio wako mapema
kweli huwezi gurantee na binadamu yeyote hawezi kuwa perfect or sinless, never the less deep inside u still expect him to be faithful...
 
waungwana.....
naomba tujikumbushe kidogo hii thread:

enewei kwa referrence zaidi naomba UBONYEZE HAPA
 
Kuna mmoja hapa ofisini mjuaji huyo,anadai alikuwa makini sana kwenye kuchagua.ndo wanaozimiaga hawa au kuvua nguo watembee uchi!
Mie simkanii baba yangu wala the pope himself!Pole wifi mtu!uguza hapo ujiongezee credit!
 
why would one dare to?? kwani unamuweka kwenye mkoba mapaka ujigambe hivo?? huyo wa hivo dawa yake kina Da Sophy, they will put her in her place.
 
hata uji haufai hapo.........itatokea kitu ingine kabisa!!
hahahahahahah!
una mkataba gani na mbavu zangu?
:bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce:
 
noname, maisha hayawezi kuwa normal tena kwa huyu, wanaanza maisha mapya na anajifunza kuishi na cheater! namwonea huruma huyu wifi kajifunza maisha ya ndoa too late!
 
DUH! inatisha kweli kama ndoa ndo ziko hv kwakweli maana kila kukicha kuna kituko cha ndoa
 
noname, maisha hayawezi kuwa normal tena kwa huyu, wanaanza maisha mapya na anajifunza kuishi na cheater! namwonea huruma huyu wifi kajifunza maisha ya ndoa too late!

mom kwa hiyo ukijua kuna kuchitiwa kwenye ndoa haitakuuma sana kama vile utavostukizwa tofauti na imani yako...??
 
noname, maisha hayawezi kuwa normal tena kwa huyu, wanaanza maisha mapya na anajifunza kuishi na cheater! namwonea huruma huyu wifi kajifunza maisha ya ndoa too late!
mwambieni mwenzenu ukweli kwamba IT IS INEVITABLE CASE......!
akchuare hajifunzi kuishi na chita per say!infact kwakweli anajifunza kuishi na MWANAUME
 
nashukuru Safina....
 
hahahahahahah!
una mkataba gani na mbavu zangu?
:bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce:

ngoja niache basi nilidhani tuna dinding agreement lol!!!!! Teamo weeeeee mbona hujaniuliza leo au leo mmmmmmmmmmmmmh........
 
Kuna mmoja hapa ofisini mjuaji huyo,anadai alikuwa makini sana kwenye kuchagua.ndo wanaozimiaga hawa au kuvua nguo watembee uchi!
Mie simkanii baba yangu wala the pope himself!Pole wifi mtu!uguza hapo ujiongezee credit!

mie na credit wapi na wapi, tumemuachia mama yake sasa aendelee, wafarijiane weee wabembelezane weeee, mpaka atakaporuhucwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…