ndio ndoa hizi

hicho kiliwauzi sana kaka zake, lakini hawana la kufanya, juzi alivyozinduka akauliza jamani nipo wapi na nafanya nini? mke mwenzangu akamjibu"" upo hosp unamfumania baba nanilii lakini hujaukubali ukweli""...haaa ilibidi nitoke nje kwanza...

alimwagia moto mafuta mbona ulienda kuchekea nje?
 
Yaani wewe kati ya wanawake naowakubali humu wewe ni namba 1. Unaujua ukweli na unausimamia. Mme wako ana bahati sana. leo ukirudi nyumbani mpigie makofi matatu. Mkilala mbarikiwe upate mimba ya mapacha. Sema AMINA.

hapo no!!!!!!!!!!!!!
 

AAh kumbe mi nilikariri nikajua ntakuta LMA huko n stuff!!
 
Nyamayao ila huyo mme wa wifi yako inaonekana ni mtaalam wa haya mambo alikuwa anafanya kwa siri..mungu kaamua kumuumbua
 
hahaaaa me by now kwishnei kabisa wala sitanii!!! huwa napata mawenge hata nikihisi tu naibiwa........mpka naendesha kwa kihoro lol!!



una shughuli pevu mbeleni...nilivyorudi na mtuhumiwa kutoka lunch yani mama alinikata jicho la "shika adabu yako"...lol, kaka mtu ananiuliza kwa jazba ulienda wapi na nani? namwambia fulani alinipeleka lunch ndio tunarudi hivyo.."" umekuja kupelekwa lunch au kuuguza"....nikamwambia mtu akiuguza nae afe na njaa?..."" kwani uliniambia unataka kwenda lunch nikashindwa kukupeleka mpaka uende na huyo?"......nikamwabia tofauti zenu hazihusiani na mie kupelekwa lunch bwana..... yaani wanataka kama watu wote tumtengee jamaa vile...
 
Duh mtapigwa ban nyie na familia zenu.....
127 ni total number of voters (81+46)

ratio ni 63.78% v/s 36.22%
Ngoja nianze kutabiri. Kwenye 81 wapo......Teamo, Asprin, Roya Roy, De Novo, Kaizer, Fidel,Bigirita,GP,Kimey,Maxence Melo, Maskini_Jeuri...............

Kwenye 46: FL1, Nyamayao, Charity, Carmel,Bht,Lily Flower,Preta,GS,JS,MJ1, Mom.Katerelo,Noname.............

Damn! sasa hiyo 63.78% inai nfidelatize na kina nani? Wanawake bana...........Haya bana!
 
Nyamayao ila huyo mme wa wifi yako inaonekana ni mtaalam wa haya mambo alikuwa anafanya kwa siri..mungu kaamua kumuumbua

sana tuuu...nilijua mengi sana nilivyopelekwa lunch...mwanaume c ndugu yako aisee.
 


kwani kwenye hiyo 63% hakuna wanawake??? basi ni wenyewe kwa wenyewe lol!!!
 
Ndoa au mahusiano hayana ukawaida, na mbaya zaidi kusemea mioyo ya wenzi wenu! Mi nadhani hiyo haina tatizo, cha msingi mshkaji kama bado anampenda bibie warudi wasongeshe maisha yao, ilikuwa ni zoezi la kuchukua uzoefu toka kwa KUKU WA KIENYEJI!

mama kashanunua ugomvi, jamaa anasema mie nawackiliza wao lakini hakuna jipya nililofanya ambalo hata hao ndugu zake hawajawahi kulifanya, hapo mie ni coz nimefanya na ndugu na waniulize nilianzanaje na ndugu then nitawapa jibu...haaa nilibaki nimetoa jicho na hivyo nilikuwa nimepiga tusker za kucndikiza lunch haaaa.....
 

...hahaha!... utetezi mwingine bana, nakumbukia 'thread' ya teamo!
Ameteleza tu huyo Nyamayao, muombeeni msamaha.
 

aisee huyu baba ni mtaalamu hasa, keshapanga na majibu na anaona kosa lake moja kutoka na ndugu basi! bahati nzuri huyo mkewe keshayasamehe yote, aliteleza yani hataquestion chochote!
 
kwani kwenye hiyo 63% hakuna wanawake??? basi ni wenyewe kwa wenyewe lol!!!
Tatizo ni kwamba wanawake huwa hawasemi ukweli kwenye mambo ya infidelity!! Unaweza kukuta anayebisha na kulaani sana infidelity anagawa shimo kama zawadi!!!
 
Surprise unajikuta ICU, ana bahati kweli huyo bibie!

Mungu tunusuru, waume zetu tuwapende na kuwaombea whatever they are doing should remain to be a secret.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…