mama kashanunua ugomvi, jamaa anasema mie nawackiliza wao lakini hakuna jipya nililofanya ambalo hata hao ndugu zake hawajawahi kulifanya, hapo mie ni coz nimefanya na ndugu na waniulize nilianzanaje na ndugu then nitawapa jibu...haaa nilibaki nimetoa jicho na hivyo nilikuwa nimepiga tusker za kucndikiza lunch haaaa.....
Thats my girlie....Nimekuzawadia hii kwa leoSurprise unajikuta ICU, ana bahati kweli huyo bibie!
Mungu tunusuru, waume zetu tuwapende na kuwaombea whatever they are doing should remain to be a secret.
kwani kwenye hiyo 63% hakuna wanawake??? basi ni wenyewe kwa wenyewe lol!!!
BHT hii ya wanaume kwa wanaume haiitwi infidelity...:tongue:
aisee huyu baba ni mtaalamu hasa, keshapanga na majibu na anaona kosa lake moja kutoka na ndugu basi! bahati nzuri huyo mkewe keshayasamehe yote, aliteleza yani hataquestion chochote!
BHT hii ya wanaume kwa wanaume haiitwi infidelity...:tongue:
Uko desperate kujua? Fumba macho..........!inaitwaje?
sodomy....au uf*r*un*.inaitwaje?
Toba Yarabi huyu mwanaume anajiamini mbaya yake !!!!! alianzaje (yaani long time kitambo)
afu hapo napata picha nyingine huyo mke mwenzako ana tatizo pia
mama mtu kashanunua ugomvi, jana anamcal mamake na kijana kumwelezea, sasa nikajiuliza anamwelezea kitu gani wakati mama mkwe alishapigiwa cm na mwanae ucku huo ndio akaenda kulala nae hosp kabla wengine hatujafika...mama hataki kabisa kuamini kilichotokea, anataka vikao cjui nini na nini, mkaka anasema yupo tayari kwa lolote na mama mkwe wake anavyonunua kec ndio anazidi kumkacrisha kabisa,""mbona wanae wa kiume walikuwa wanawasumbua nyie na mama hakujali kwanini hii yangu aishike bango?""
cjakupata hapo, tatizo gani mami?....anasema mke wake alijisahau sana na nyumba, mdada ndio alikuwa naaingia room kufanya usafi, anakuja amenivalia hivi na vile, na mke kakaa kwnye kochi anaangalia isidindgo, mdada ndio ampakulie na kumfanyia hivi na vile...yaani ni hizo hizo sababu zao wanazoziletaga wakishacheza rafu..hakuna jipya.
cjakupata hapo, tatizo gani mami?....anasema mke wake alijisahau sana na nyumba, mdada ndio alikuwa naaingia room kufanya usafi, anakuja amenivalia hivi na vile, na mke kakaa kwnye kochi anaangalia isidindgo, mdada ndio ampakulie na kumfanyia hivi na vile...yaani ni hizo hizo sababu zao wanazoziletaga wakishacheza rafu..hakuna jipya.
Uko desperate kujua? Fumba macho..........!
We mke bora sana. Pale home housegeli haruhusiwi hata kugusa mlango wa chumbani kwangu. Waifu amekadhibiti asee. Na ni bora aendelee kukadhibiti manake kanavyozidi kukua ndio kanavozidi kuhamasisha infidelity!Mungu apitishe mbali!!hapa ndio hua nasema kazi za housegirl zina mipaka chumbani kwangu no! na mr ajifunze kujipakualia kama sipo! nilishakutana na kisa hiki tena dada alikua anaishi na mdogo wake kwa mama mdogo, siku anakuja kugundua kuna uhusiano zaidi kati ya mume na mdogo wake ndivyo mume alivyojitetea ati kila kitu huyu mdogo ndio anafanya kuanzia kutandika kitanda mpaka kunipikia, kuniandalia nguo za kuvaa?
huyu wifi nae anashida!
na kweli huyu mama kalishikia bango sana swala hili, nahc cku ya kikao hicho patakua hapatoshi, bora huyo wifi akamsihi mama yaishe atayahandle mwenyewe!
Nimeamini kweli adui mwombee njaa!hapo tumewaachia wao wenyewe na maamuziyao, nimefurahi kwamba mdada akitoka hosp atatupa heshima yetu kama wake wa kaka zake, cha moto kashakiona.
jana asubuhi alikuwa analia anasema haamini kama mume wake alishindwa hata kutafuta mwanamke mwingine huko nje mpaka afanyie ndani, tena na ndugu yake""siamini kabisa kama (fulani)kanifanyia hivi...lakini ameteleza tu"...yaani analia na kujifariji mwenyewe.
hapa ndio hua nasema kazi za housegirl zina mipaka chumbani kwangu no! na mr ajifunze kujipakualia kama sipo! nilishakutana na kisa hiki tena dada alikua anaishi na mdogo wake kwa mama mdogo, siku anakuja kugundua kuna uhusiano zaidi kati ya mume na mdogo wake ndivyo mume alivyojitetea ati kila kitu huyu mdogo ndio anafanya kuanzia kutandika kitanda mpaka kunipikia, kuniandalia nguo za kuvaa?
huyu wifi nae anashida!