Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Wakuu mm mgeni kwene huu mtandao
Ndo nimejiunga leo jF
ushauri
Ndo nimejiunga leo jF
ushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa umejiunga na FB, unakuja kutusumbua JF?Wakuu mm mgeni kwene huu mtandao
Ndo nimejiunga leo jF
ushauri
Kabisa.Asisahau.Utambulisho kawaida huambatana na picha yako
Umejiunga jana na sio leo.
View attachment 2876450Acha uongo.
Ushauri huku utoto wa FB upo Ila kwenye jukwa la chitchat,karbu sana
Dah! Karibu sana mjukuu wetu jamii forums. Mimi ndiye Waziri mwenye dhamana ya michezo humu jukwaani.Wakuu mm mgeni kwene huu mtandao
Ndo nimejiunga leo jF
ushauri
Sasa umejiunga na FB, unakuja kutusumbua JF?
Karibu jf
Umeingia humu unatakiwa uwe na akili kubwa, mfikiriaji, hapa si kama mitandao mingine ulikotoka. Je umesoma terms and rules za kuwa member humu? Kama huzijui unaweza ukala ban mapema pamoja na ugeni wako humu