Ndio nimekuja rasmi kinena tete

Ndio nimekuja rasmi kinena tete

Geofrey Andrew Sanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
251
Reaction score
55
NATUMAI TUTA WAZA TETE NA TUTASEMA TETE, TUTASHARE TETE NA KUANDIKA TETE ZAIDI YA TETESI. BASI HAYA , NAWAPENDA WOOOTE NA NAIPENDA SANA HII NCHI YA TANGANYIKA :kev:
 
Kinena?? Uko tayari kutukanwa sana? Afadhali kama ungebadili hili jina lako! Haya! Mimi nimesema tu!
 
Karibu sana ila sheria ni kama Tai-iwe mbele kwa kila jukwaa,usilete lugha za kwenye Facebook
"Vox popoli vox dei"
 
Kuna balozi wa China alikatazwa kuja bongo kutokana na jina lake. I think you deserve the same
 
Kuna balozi wa China alikatazwa kuja bongo kutokana na jina lake. I think you deserve the same

Samahani Mkuu sio wa China ni wa Japan. Ingelikuwa hatari kubwa kama angekuja.
 
Back
Top Bottom