Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
kaka naona watu wanashindwa kuwa wakweli...hakuna aliyeoa na hisia zake za mapenzi au hata matamanio kwa watu wengine zaidi ya mme/mkewe zikafilia mbali.....inakuwa tu kwamba uanajidahidi kuzi-controll ukijua kuwa unaye mwenzako...ila inapokuwa unashindwa then una-admit failure za kibin-adamu na unaipa nafsi kitu roho imetamani...THATS A FACT
wanaume wengine hasa mnashangaza ...........
hivi uliolea nini wakati kumbe huko tayari? na ulioa kwa misingi ya dini ipi?
manake kama umeoa kwa mujibu wa dini lkn unasema lazima uzini nje ina maanisha dini yako ilikuonea ilipokuambia usizini nje...
tanzania bila ukimwi haiwezikani kwa kweli! aggr
Ivi we gaijin hujawai kuchit ww kweli?
Laiti mngekuwa mnaifahamu hii kanuni kuwa "mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja ila mwanaume ameumbwa kwa ajili ya wanawake wengi" Wala msinge mshangaa mtoa mada!
Go WC? Go!!!! Go and do it maaaaan!!
mie naona kama wanaume wanavyosemaga...fulani hafai kuolewa sio 'wife material'...na wanaume pia kuna wengine sio marriage type,wameoa ilmradi tu...sasa upate mume mwenye mtazamo wa hivi :tape::tape:duh mbona imekula kwako!!!...afu mie posti zake huyu kaka,ukimchunguza ni kweli..he doesnt give a damn about ANYTHING....no feelings,no morals whatsoever!!! yupo kama robot duh!:tape:
We una morals?:doh:mie naona kama wanaume wanavyosemaga...fulani hafai kuolewa sio 'wife material'...na wanaume pia kuna wengine sio marriage type,wameoa ilmradi tu...sasa upate mume mwenye mtazamo wa hivi :tape::tape:duh mbona imekula kwako!!!...afu mie posti zake huyu kaka,ukimchunguza ni kweli..he doesnt give a damn about ANYTHING....no feelings,no morals whatsoever!!! yupo kama robot duh!:tape:
We una morals?:doh: