ndio..nimeoa na nampenda mbayaaa mke wangu

namuunga mkono WC bana kuoa sio mwisho wa kupenda jamani tunakua bado tuna moyo na macho yako wazi kwanini usiipe roho kitu ile inataka?mie mwenyewe huwa najipoza sana tu pembeni kila nikipata chance.nini mbaya😛eep:
 
nadhani watu wengine humu wanatoaga comments tu ili mradi nao wame comment....
 
Ulichotaka kukifanya, jaribu kusikia tu kuwa na Mkeo na alitaka kukifanya.. Itakuwaje?
 
kidogo uwe unapitwa/uliza kama hujaelewa mtu anamaanisha nini....
Sasa kama unaona sijaelewa si unieleweshe, mimi nimeelewa nilivyoelewa kama nimeleewa usivyotaka nielewe ni jukumu lako kuhakikisha naelewa unavyotaka nielewe.
 
eti nampenda mbaya mke wangu, nini maana ya UPENDO??? aggrrrrr nini maana ya UPENDO jamani???? eeeh, upendo uvumilia, upendo hauhusudu, upendo hautamani, etc

unasema unampenda mkeo huku unaparamia vimada njee, shame on you:A S angry::A S angry:
 
Ulichotaka kukifanya, jaribu kusikia tu kuwa na Mkeo na alitaka kukifanya.. Itakuwaje?

huwa wanaanguka na kuzimia kwa Presha kuna jamaa mmoja yeye anapenda sana totoz kwa kwenda mbele ..siku moja kijana mmoja akamtania wote wakiwa kwa ofisi na wife akiwa ametoka kidogo nimemuona mkeo kavaa pants nyekundu na kumbe ilikuwa kweli..jamaa alianguka akazimia:sick:
 
its true FL1, hata oficin kwetu kuna jamaa anapenda totoz sana, anamuonyeshea wife live, na ana watoto 4 nje ya ndoa kwa mke 2, ndoa yao ina miaka 5na watoto wote wako btn age hizo na hajali familia yake, wife alipozidiwa alitoka nje kujifanyia service kidogo, siku alipogundua kwamba mkewe anamegwa varangati lake hapakutosha hapa kota alitaka kucharanga watu mapanga, ilibidi wahamishwe wakae nyumba za mbali mbali maana mmegaji alikuwa jirani na mfanyakazi mwenzetu pia.
 
wewe ni mzinifu na kama ungekuwa ktk nchi ni mawe mpaka kwishine
 
jaribu kumshinda shetani

 
Sasa kwa nini ulioa, wakati starehe hujamaliza, kha mie ndo maana mahusiano yamenishinda,
 
who cares kidding

why kidding bro...hii ni kweli..tatizo hapa watu hawapendi kuukubali ukweli hata kama unauma kiasi gani....KUOA AU KUOLEWA..hakumfanyi muhusika kupoteza HISIA za mapenzi nje ya aliyemwoa/olewa naye...INAPOTOKEA UNASHINDWA KATIKA VISHAWISHI then uki-cheat SIONI KOSA LOLOTE na haiondoi penzi langu la thamani na dhati kwa nimpendaye mpaka kuingia naye MADHABAHUNI pa Bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…