Ndio urafiki huu kweli??

Ngoja kwanza hii story haijaisha, wewe ulikuwepo wakati wanaongea na cm, isije jamaa kamega halafu kautosa mzigo ndio bibie anakusimulia,

Umenifurahisha kweli,yeah tulikuwa pamoja na ilikuwa on loud speaker
 
Zamani sana nilimwambia mshikaji wangu demu wangu ana kitumbua kikubwa sana likawa kosa...sasa hivi ni mkewe na hataki hata nimwite shemeji

Duh,ni haki unyang'anywe maana ulimvua nguo mwenyewe mbele ya wabakaji
 
nia yake yaweza kuwa si mbaya sana labda anajua udhaifu wako anataka kukuimalishia ndoa

Sikushangai,..labda ndivo unavo fanya kwa mwenzio pale unapokuwa weak so unadhani ni global act,hiyo ni tabia yako peke yako mkuu
 
Hehehehehehe
Duh, hii kali kweli
Mkishamega jamani usiwatangazie rafikizo ooh anakatika kweli, oooh anakula koni ile mbaya, oooh
Jamani mengine tunajitafutia wenyewe

Inabidi kuwe na darasa makini kwa watu kama hawa,we una onesha dhahabu hadharani wakati wenzako wanaitafuta hiyo hiyo
 
Hapo kweli hakuna urafiki, na kama walivyosema waliotangulia kosa tunalofanya ni kuwasimulia marafiki zetu mambo yetu ya siri

Ni laana tu hii,hamna anae msimulia labda kama huwa anapiga chabo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…