Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nakwambia, inatia kinyaa. In Tanzania, wasomi are the worst enemy of the people. We are the most coward and hypocritic of all the groups. This explains why the opposition gets the least support in cities where the so called 'wasomi' are residents!! Ukombozi wa nchi yetu utaletwa na mwananchi, the common man in Kantalamba, Mgela, Nzega,etc.
Wewe nawe si ni mmoja wao hao wasomi bana....do something then...unaona kabisa mna tatizo lakini nini umefanya kurekebisha hilo tatizo zaidi ya kuja JF na kujirushia madongo? So you are a coward and hypocrite too? Wow....
Kulalamika pia ni sehemu ya kutatua tatizo, angalia natoa mafustrations na mastress au?
Unachofanya wewe una vent mi frustrations yako. Hii ni kuweka band-aid (plaster) kwenye donda ndugu. Ukisha vent hapa unajisikia ahueni kidogo kwa muda mfupi halafu huyo unaenda zako UDASA kuzimua Safari na nyama choma siku inaisha. Sasa hapo unakuwa umetatua tatizo gani wakati tatizo kubwa lipo linabaki palepale?
2. TUCTA is bitter that THTU and other organizations walked out of TUCTA affiliation.Katika nyaraka nyingine Ngulla anadaiwa kumwajiri dereva wa gari lake binafsi mwenye leseni ya daraja ‘D' na kuidhinisha alipwe mshahara na shirikisho wakati akiendesha gari la nyumbani.
Kwa mujibu wa nyaraka hizo, ajira ya dereva huyo iliendelea hadi alipogombana na mkewe Ngulla na kutimuliwa. Wakati wote huo gharama za uendeshaji wa gari hilo kwa maana ya mshahara wa dereva, mafuta na matengenezo zinadaiwa kulipwa na shirikisho.
Tuhuma nyingine zinazomkabili anadaiwa kujihusisha na migogoro ndani ya TUICO na RAAWU, iliyosababisha kujiondoa kwa baadhi ya wanachama wa vyama hivyo na kuuunda umoja wao.
Vyama vilivyojitenga na kuunda umoja wao ni Chama cha Wafanyakazi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (THTU) na vyama vya wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), National Microfinance Bank (NMB) na taasisi za fedha nchini.
TUCTA Acting General Secretary Nicollous Mganya said in a telephone interview that
3. Dr. Mtalo is one of highly intelligent persons and wazalendo halisi wa Tanzania. There is more to this mgomo than meet an eye. It is unfair to categorise Dr. Mtalo na wasomi wengine as 'wapuuzi' on basis of the posted story.THTU was not registered in the list of TUCTA trade unions.
He said therefore that, TUCTA had nothing to do with them and therefore the strike will not involve them.
"TUCTA has a total of 14 trade unions and the strike decision was reached by members," said Mganya.
Angalau nimeliponesha liroho langu-kuahirisha matatizo pia ni solution wakati nikisubiri mijitu mingine iamke!!
Naona tatizo la complacency Tanzania. Everywhere I look.
Wameshindwa kugoma kumwokoa Baregu wataweza kugoma kuliokoa Taifa?
Kwa nini hukugoma?
Ndugu Kitila hivi tukizungumzia wasomi, cut off yake inaanzia wapi? Maana tunakuwa soo general. Nauliza hivi kwa sababu kuna mtu anasema wanataaluma salary zao zinaanzia six digit. Huu ni upotoshaji maana nafaham fika wenye degree moja (Ma TA) hawafiki kwenye hizo digit.Nakwambia, inatia kinyaa. In Tanzania, wasomi are the worst enemy of the people. We are the most coward and hypocritic of all the groups. This explains why the opposition gets the least support in cities where the so called 'wasomi' are residents!! Ukombozi wa nchi yetu utaletwa na mwananchi, the common man in Kantalamba, Mgela, Nzega,etc.
angalieni wenzenu huko Thailand.. na kwingine.. ndio maana nina uhakika kabisa hata akishuka malaika kuwaongoza Watanzania hawataenda popote..
With all due respect Sire.. if you do feel this way, why bother fighting?
Mzee.. hata sikuelewi.. hebu kuwa consistent kidogo... statement yako inaonyesha kama umekata tamaa ya mapambano....when you are under attack the option not to is not an option; its a matter of survival. We sometimes fight now so that we don't have to fight in the future.
''kwingine.. ndio maana nina uhakika kabisa hata akishuka malaika kuwaongoza Watanzania hawataenda popote''
Mzee.. hata sikuelewi.. hebu kuwa consistent kidogo... statement yako inaonyesha kama umekata tamaa ya mapambano....
sometimes I feel like that.. but its not a position of weakness, but a position of strength.. to understand your own weakness helps you to understand your strength. Kwa hali ilivyo sasa ni vigumu watanzania kufuata mtu ambaye anaweza kuwaongoza kuelekea mabadiliko. Huu ni ukweli wa kihistoria; we have become a docile bunch! Now, if everything remains the same it doesn't matter kama malaika atashuka na baragumu kwani mwitikio wa kwanza wa Watanzania utakuwa ni Je "ikulu watasema nini" na watasubiri CCM itoe maelekezo kama wanaweza kumuamini mjumbe huyo au la.
CCM ikisema "mpuuzeni huyo malaika" Watanzania watakumbatia hilo.