Mimi naomba nifahamishwe ukiwa kijana umeoa aujaoa/umeolewa haujaolewa najua ulikuwa na ndoto kwamba mimi nikitaka kuoa lazima nioe mwanamke wa jinsi fulani!au Nikitaka kuolewa lazima niolewe na mwanaume wajinsi fulani!!Sasa je katika ndoto zako zakipindi hicho je ulimpata yule uliyekuwaukimfikiria katika ndoto zako??Au mambo ya Climate change ukajikuta hupo kule ambako wala hukuwanafikira nako??lakini maisha yanaenda raha mstarehe!!Kuwe kuzuri, kubaya maisha ya juu, ya chini, ya kati!!Tofauti na matarajio hebu weka hapa utujulishe kuwa kweli ndoto hukamilika wakati umeamka!!:lol:
Aisee pole sana!sijaolewa ndugu, ila ninaempenda mimi na kutamani awe mme wangu anampenda mtu mwingine, wanaonipenda mimi na kuonesha nia ya kuoa sitaki hata kuwaona wala kuwakaribia, basi kazi kweli kweli
sijafanikiwa ndoto yangu nilipanga nioe mwanamke ambaye hajamegwa lakini nimemwoa ambaye tayari mitarimbo kadha imeshapitia pale sehemu
sijaolewa ndugu, ila ninaempenda mimi na kutamani awe mme wangu anampenda mtu mwingine, wanaonipenda mimi na kuonesha nia ya kuoa sitaki hata kuwaona wala kuwakaribia, basi kazi kweli kweli
Pole we! Na halafu siku hazigandi basi shosty nikuambie kabisa. Unaweza jikuta mambo yanakuendea hivyo hadi jua linazama jioniiiii! Ndio maana mie watu wanaonipigia kelele na utaratibu wangu wa maisha huwa nawatazama tu kisha nawapuuza.
Da Sophy we ni mswahili sana...Unaonyesha unaishi kwa Mnyamani!
Wanaume tukijitunza hadi ndoa huwa to loose marks na mdem/wake zetu kumengwa na wengine kwa hiyo sikujitunza I was looking for experience before marriage ndiyo maana pamoja na yeye kumengwa na wengine kabla alipofika katulia. I mean she is comfortable with my experience. Maana hata demu wangu wa kwanza nilipo mmega tu hakurudi tena kwa sababu nilituma experience ya sabuninimecheka mbaya, kwa nini ulitaka ambaye hajamegwa, wewe mwenyewe ulijitunza mpaka ndoa? kama hukuweza kufanya hivyo usitegemee kukutana na aliyejitunza, sorry
Da Sophy we ni mswahili sana...Unaonyesha unaishi kwa Mnyamani!
Mungu saidia, mule mule, nilijizuia sana hadi nimpate wa aina ninayoitaka japo ilinigharimu muda wangu mwingi na kuanguka kwingi,
maana kila nilipogusa najibiwa ana mtu, nikiuliza kwani mimi sio mtu naambiwa nimechelewa.....