Ndiye yule yule, au?


hahahahaha, sasa hapo si utakuwa unashughulika peke yako, nzuri kutafuta mwanamke mwenye experiance yake mambo ndo yanakuwa poa au sio mkuu
 
sijaolewa ndugu, ila ninaempenda mimi na kutamani awe mme wangu anampenda mtu mwingine, wanaonipenda mimi na kuonesha nia ya kuoa sitaki hata kuwaona wala kuwakaribia, basi kazi kweli kweli


Nina mwa40 wa hii kitu, nione ASAP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…