CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 854
Katika sehemu ya hotuba yake, Rais Magufuli alisema kuwa, utaratibu wa zamani kabla ya mifuko kuunganishwa uendelee kutumika mpaka 2023.
Je, hii ina maana kwamba hata lile fao la kujitoa ni ruksa au ikoje hii?
Je, hii ina maana kwamba hata lile fao la kujitoa ni ruksa au ikoje hii?