Ndiyo najiunga jamani

Jinsia yako na umri wako tafadhali.

Usajili unamalizika kwenye jukwaa namba 3, utapinda kulia halafu kushoto halafu utateremka ngazi hapo utakutana na wageni wenzio wakisoma sheria taratibu na mambo kadha wa kadha ya namna ya kuenenda ndani ya jiji la JF, jiunge nao. Ukiiva karibia majukwaa mengine.

Kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…