Hatimaye yule kamanda fake a.k.a Dj yupo mikononi mwa makamanda wa ukweli a.k.a jeshi la polisi la Tanzania. Pamoja na kujificha koote, ila kadakwa kwenye kichocholo alikokuwa kajificha.
Alipenda sana kuhimiza maandamano ila kumbe mbele ya polisi ni muoga kama arsenal, hahah
Acha bongo lala, CCM ndicho chama pekee kinachoishi kwa ahadi zake. Chama mfu chadema ni chama cha wauza dona, wapiga dili, waongo, wanafiki, wauaji, wabaguzi, wezi, mafisadi, zeros, wahuni, wachakachuaji, wapenda vita, waendekeza ngono wasioheshimu ndoa zao, waharibu vijana kwa kuwauzia viroba, dona. CCM itadumu daima!Wee dada sijui Chadema ilikufanya nini....Chadema sio chama tawala useme it will change or manage your life,CCM does that for now tangu uhuru...
Una chuki moja mbaya sana na Chadema especially Mbowe,hii chuki imefunika uelewa wako mazima...
Ukiniambia mwananchi ana Chuki na CCM walau kinaeleweka since ccm imeburuta watu since independence...sasa wewe una chuki mahususi kabisa kwa Chadema na Mbowe in particular...this is interesting of u!
Dj hauzi sembe, bali ana miliki biashara halali. Na hakuna anayeweza kumfunga hapa duniani.Ndiyo maana dj aliamua kujiingiza kwenye sembe, hahaha. Akifungwa nitafurahi sana.
Acha bongo lala, CCM ndicho chama pekee kinachoishi kwa ahadi zake. Chama mfu chadema ni chama cha wauza dona, wapiga dili, waongo, wanafiki, wauaji, wabaguzi, wezi, mafisadi, zeros, wahuni, wachakachuaji, wapenda vita, waendekeza ngono wasioheshimu ndoa zao, waharibu vijana kwa kuwauzia viroba, dona. CCM itadumu daima!
Aibu yako ikurudie wewe mwenyewe na waliokutumaNdiyo maana dj aliamua kujiingiza kwenye sembe, hahaha. Akifungwa nitafurahi sana.
Iv kwel mtu na akili timamu anafurahia CCM kuwepo madarakani!!!??
Eti Philemon mbowe alikuwa kajificha???!! Seriously you believe this crap!!
Nachoshukuru nikwamba kila binadamu ana expire date. Itakapofika yako ukiwa kikongwe natumaini utaendelea kuimba mbele kwa mbele ukiwa huna mbele wa nyuma
DJ ameanza kuweka muziki na fisiem na polisiem wameanza kucheza condakta mwenyewe ameanza kukubali kiainaHatimaye yule kamanda fake a.k.a Dj yupo mikononi mwa makamanda wa ukweli a.k.a jeshi la polisi la Tanzania. Pamoja na kujificha koote, ila kadakwa kwenye kichocholo alikokuwa kajificha.
Alipenda sana kuhimiza maandamano ila kumbe mbele ya polisi ni muoga kama arsenal, hahah