Mi ndio nazila hapa....karibu sana tujumuike kwenye mlo huu mtamu
Kwa wanaume sikuambiwa! Ila alisema effect zake zinaonekana kwa waloanza kula utotoni! Nadhani inaoperate kama maji ya Arusha. Ukinywa ukiwaumekuwa mtu mzima hayabadilishi meno. Wenye kujua watujuze zaidiKwaupande wangu sio kweli,kwani nakula mara 1 au 2 kwa week since mumewangu anapenda sana ndizi mbichi,mie na mumewangu ni wa znz. na huyo alokwambia kama kwa wanawake inaongeza fluid je kwa wanaume inaongeza nini?
Mods please msihamishe hii mana huko mnapopeleka sina access!
Sasa nauliza, ndizi bukoba inaongeza vaginal fluid? Mana there z friend of mine 4rm bukoba alinidokeza kuwa zinachangia sana ndo mana wanawake wakule si haba katika swala zima la maji! Somebody with knowledge, experience? Kuna namna ya kupunguza maji?
Kwaupande wangu sio kweli,kwani nakula mara 1 au 2 kwa week since mumewangu anapenda sana ndizi mbichi,mie na mumewangu ni wa znz. na huyo alokwambia kama kwa wanawake inaongeza fluid je kwa wanaume inaongeza nini?
Nyie ndo hamuutaki Muungano eeh....sasa mnafanya nn bongo??
Nyie ndo hamuutaki Muungano eeh....sasa mnafanya nn bongo??
hawataki uungano aisee..hawaoni mpaka ndizi zimetuunganisha..Nyie ndo hamuutaki Muungano eeh....sasa mnafanya nn bongo??