Jamani hebu semeni basi mbona mnaikiwepeshakwepesha hii mada au kuna ka ukweli flani,maana huyu mtoa mada inaonyesha kama ashawahi kukutana na wa-Bukoba akakutana na hayo maji sasa anataka ku-prove kutoka kwa wana JF.
huko zanzibar hali ikoje aisee...?Kwaupande wangu sio kweli,kwani nakula mara 1 au 2 kwa week since mumewangu anapenda sana ndizi mbichi,mie na mumewangu ni wa znz. na huyo alokwambia kama kwa wanawake inaongeza fluid je kwa wanaume inaongeza nini?
ingekuwa hivyo wengine tukitembea hizo 'fluid' zingekuwa zinachuruzika....
teeeee heeeeeee teeheeeeee daaah bt umenichekesha sana.
Sasa mtoa mada mbona hujaelezea kwa uzuri? hiyo fluid ina harufu au haina harufu?ni nzito au nyepesi hii itasaidia kuelewa kama ni infection au ni maumbile.
Mimi sijawahi sikia msosi wowote unafanya hivyo ila nimewahi sikia kama mtu anabadili-badili dudu ndio maji yanakuwa mengi.
waitu ako nako kagambo,omukazi nayatunsa!jibu nikweli ila sio kila ndizi ila ni zile za bukoba aina ya 'enshakala' enjunja kashaabo
habari ndo hiyo
jibu nikweli ila sio kila ndizi ila ni zile za bukoba aina ya 'enshakala' enjunja kashaabo
habari ndo hiyo
Mods please msihamishe hii mana huko mnapopeleka sina access!
Sasa nauliza, ndizi bukoba inaongeza vaginal fluid? Mana there z friend of mine 4rm bukoba alinidokeza kuwa zinachangia sana ndo mana wanawake wakule si haba katika swala zima la maji! Somebody with knowledge, experience? Kuna namna ya kupunguza maji?
Badili badili inaweza sababisha upate uambukizo wa magonjwa ya kuambukiza kwa njia ya kujamiiana(STD'I) kwa mfano chlamydia and gonorrhea ,ingawa sometime huwa dalili hizi hazijionyeshi ,pia Bacterial vaginosis(huu sio ugonjwa wa kuambukizwa) husababisha pia mucus kuongezekaSasa ki2 cha kuskia ngumu kupata details. Na hiyo kubadili ndo inachangiaje sasa? Mambo haya
Yummy, unazila mara kwa mara au ndo mara moja moja? We wabukoba? Vipi hali ikoje?
Mkuu apo unataka kujua kama izo ndizi nizasababisha vaginal fluid au wewe una vaginal fluid nyingi sasa unatafta njia ya kupunguza?