Ndizi bukoba zinaongeza fluid?


Mbona mnanikomalia? I ve said mimi mwanaume. Sasa fluid yangu imetoka wapi? Please may you read the topic. Its something I have heard somewhere and im asking to get more knowledge!
 
Si kweli. Nilikwenda Mbeya kwenye ndizi kama hizo na hawana fluid. Huko Machame mbona zipo ndizi kama hizo? Au Kigoma au Moro?

Moshi, Mbeya na Moro kuna ndizi bukoba
 
Mtoa mada mdau huyu aliyechangia kwa kusema nyanya chungu ndio kakupa jibu sahihi,wahaya wanakula sana nyanya chungu toka utotoni na nyanya chungu hizo zina faida na hasara kwao,kwa wote husaidia sana kuzuia kansa mbalimbali ndio maana ukienda ocean road hakuna idadi kubwa ya wahaya wenye kansa,kwa wanawake huongeza maji kwenye K ndio maana wana maji sana kina koku...wanasema ukichemsha nyanya chungu ukiiminya inatoa maji mengi na k ndio huwa hivyo hivyo.Sasa basi kwa vile zile ndizi bukoba hupenda kuzichanganya na nyanya chungu,maharage na samaki ndio maana ukaambiwa ndizi bukoba huongeza maji ila kiukweli NYANYA CHUNGU ndio huongeza maji.
Nyanya chungu + ndizi (matoke) + amaizi agarungi (majani) = Fluid. nyegera bhojo.
 
Hii hoja haina mshiko na ni ya kufikiria/tetesi zaidi kuliko kisayansi.
 
Hii hoja haina mshiko na ni ya kufikiria/tetesi zaidi kuliko kisayansi.

Sasa unajua mwenzio akisikia tetesi na kuuliza ili kupata uthibitisho wewe uka~refute kwa maneno matupu unakuwa worse zaidi!
 

Namkumbuka sana jamaa yangu mmoja miaka ile ya 80 alikuwa anaielezea sana hiyo KATERELO! Sikujua kuwa inatokana na ndizi Bukoba. Inawezekana ni kweli. Pia nasikia zinaongeza na USAFIRI! Maana usafiri wa KIHAYA si haba, miguu ya akinadada imejaza sana. Ni maji hayo?

 
inawezakana maana hawa wa huku kati,north,east hata usugue vipi maji hakuna
 

Nazidi kupata vitu hapa, miguu haijambo, hilo nimeprove!
 
waitu ako nako kagambo,omukazi nayatunsa!


kiswahili pleeeeeeeeeeeees,bishanga
 
Ni kweli zinaongeza maji maji ukeni..kuna jamaa alisafiri kwenda bukuba akafikia gest house,kwenye vitanda wameweka nailon chini ya shuka ili wateja wakifanya mambo yao godoro lisilowe..tht means ndo nature ya jamii ya eneo hilo.Hongera kwa kazi
 
Ni kweli zinaongeza maji maji ukeni..kuna jamaa alisafiri kwenda bukuba akafikia gest house,kwenye vitanda wameweka nailon chini ya shuka ili wateja wakifanya mambo yao godoro lisilowe..tht means ndo nature ya jamii ya eneo hilo.Hongera kwa kazi


Sasa hiyo ya lailoni balaa, khaa!
 
Taratibu wadau mnaweza haribu mahusiano ya watu,huo ni ukabila mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…