Ndizi iliyomenywa na ambayo haijamenywa!!!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Kwenye vijiji vyetu na baadhi ya makabila wamekuwa wakibishana ubora wa hii kitu,hasa wanawake,wengine wanasema bora ibaki kama ilivyoumbwa wengine wanasema bora imenywe,je ni wa JF mnasemaje????
 
Peleka kwa wakubwa huko.....

he eeeeeeeeeee ndizi si tunda dearest? au wataka lianzishwe jukwaa la matunda????

mi sijawahi kula ndizi yenye ganda,na tangu wadogo tunamenya ndizi ndo tunakula,utakulaje ndizi na maganda yake,tamedondoka kwenye udongo,wakati mwingine yana hata konokono.....😛ound:😛ound:
 
Eiyer haya mambo si ya faragha zaidi na yanahusu watu wawili walio kwenye uhusiano/ndoa ? leo vipi ulikesha San ciiro vimwana manywele nini ? laga za pale na ule ubaridi mhh!
 
Ha?Ha,ha,he,he,hee!Kumbe hujala ndiz ambayo haijamenywa!!
 
Eiyer haya mambo si ya faragha zaidi na yanahusu watu wawili walio kwenye uhusiano/ndoa ? leo vipi ulikesha San ciiro vimwana manywele nini ? laga za pale na ule ubaridi mhh!

Mi mgeni hapa mjini!!
 
Mmmmmmh?wachangie wakina dada, kwa kuwa wao ndio wanaousikilizia utamu.
 
he eeeeeeeeeee ndizi si tunda dearest? au wataka lianzishwe jukwaa la matunda????

mi sijawahi kula ndizi yenye ganda,na tangu wadogo tunamenya ndizi ndo tunakula,utakulaje ndizi na maganda yake,tamedondoka kwenye udongo,wakati mwingine yana hata konokono.....😛ound:😛ound:
kusoma hujui yaaani hata picha?hebu toka na kihedemswede chako hapa
 
Mie namsubiri 'Utamu-wapipi arudi kutoka town,aweza kuwa anaelewa haya mambo ya utamu-utamu,teh,teh,teh!
 
Back
Top Bottom