Ndizi moja inatosha familia

Nawaza zitakuwa tamu kweli. Mbegu za migomba ya GMO zimeua migomba asilia kagera.
Wahaya sasa wanagonga ugali hawana ndizi

Siyo genetically modified hii mzee.

Hii ni jamii ya kale kabisa ya banana. Imekuwepo kwa mamia ya miaka Asia.

Inashangaza ee? Na ladha yake ni kama ndizi hizi ‘gmo’ tunazokula siku hizi.

Hizo ndizi ni wild. Og
 
Siyo genetically modified hii mzee.

Hii ni jamii ya kale kabisa ya babana. Imekuwepo kwa mamia ya miaka Asia.

Inashangaza ee? Na ladha yake ni kama ndizi hizi ‘gmo’ tunazokula siku hizi.

Hizo ndizi ni wild. Og
Haka nchi kana mambo mengi ya kustaajabisha. Mara cannibals, mara tamaduni ya wanaume kupakatana na kukutana na wanawake tu kwa ajili ya kutengeneza watoto.
Sema hiyo ndizi kiboko
 
Hizi ndizi zinaitwaje kitaalam?? Namaanisha scientific Name
 
Sifahamu kwa uhakika. Nachofahamu mgomba ukiutunza vizuri tangu awali, ukahakikisha space/shimo ni kubwa, utashangaa ndani ya muda mfupi una bonge ya mgomba na soon unakula ndizi.
Hivi mgomba hadi uanze kutoa ndizi ni kuanzia muda gani wa utunzaji? Nataka kuanza kilimo cha ndizi.
 
Nawaza zitakuwa tamu kweli. Mbegu za migomba ya GMO zimeua migomba asilia kagera.
Wahaya sasa wanagonga ugali hawana ndizi
Ni kama tu korosho za gmo zinavyosambaa kusini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…