Ndizi mzuzu zinauzwa bei gani huko mikoani?

Ndizi mzuzu zinauzwa bei gani huko mikoani?

mama vnny

Member
Joined
May 19, 2020
Posts
5
Reaction score
3
Naomba kujua bei ya ndizi mzuzu mikoani na je, naweza pata mtu akaniuzia?

1671178698068.jpeg
 
Fika Kayanga, Omurushaka, Nkwenda, Rubwera, Kaisho, Mulongo
Huko Tele Hazina Bei Pamoja Na Hii Vita Yenu Mnayojitambia
 
Unahitaji kama mikungu mingapi na kila baada ya muda gani? Ninayo apa Morogoro
 
Nahitaji miche ya mzuzu tafadhali
 
Unahitaji kiasi gani kabla ya yote mm ninashamba kubwa,
Hadi na lishia ng'ombe
IMG_20220906_092720_672.jpg
IMG_20220906_092834_405.jpg
 
Hizi ndizi zinauzwa bei sana hapa mjini, sidhan kama wakulima wananufaika na hizi bei.
 
Back
Top Bottom