Elections 2010 Ndo kusema watu wanatorokea AIRPORT sasa hivi?

We can

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
678
Reaction score
47
Kwa matokeo haya hapa JF toka Mbeya, Arusha, Mwanza, nk., lazima hofu kubwa imetanda upande mmoja na kusababisha waelekee AIRPORT.

Au ndo kusema watatumia HELKOPTA?
 
Hatoki Mtu mpaka wakabidhi hazina yetu kama mkapa alivyokabidhi
 
Sisiemu hamuwezi kudanganya watu woote wakati woote ila mnaweza kudanganya watu furani tu wakati furani tu.

Mnaona sasa! CHADEMA hawakutaka kushinda ni UFISADI tu ndo ulosababisha!
 
Mkuu naona umekua kwenye mawazo yangu,nilitaka kusema wana JF tukae mkao wa kula huko mipakani (Holili,Rongai,Namanga,Tunduma nk)nina wasiwasi kuwa watu wataanza kutoroka.Kwa wale wanaokaa karibu na mipakani mtusaidie kuangaza macho.
 
Kuna kijana wangu yupo stand by pale Tunduma
 
Mipakani ulinzi wa hali ya juu uongezwe ili mafisadi wasitoroke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…