ndo kwaanza nimeingia huu mji wa jf,nipokeeni,sina rafiki wala mwenyeji

ndo kwaanza nimeingia huu mji wa jf,nipokeeni,sina rafiki wala mwenyeji

Karibu sana!Ila hilo jina lako lol?Mgeni tutaogopa kukuacha na watoto wetu!!
 
Karibu sana
Hilo jina linatisha sanaaaa!!
Huna lingine hata la babu?
teh! teh!
 
Back
Top Bottom