Ndo nazinduka muda huu

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
302
Reaction score
292
Juzi nilisinziaa kanisani bana[emoji18]nimelala ww mara nkasikia jirani yangu ananiambia pembenii! mpendwa amkaa!!
Nikasikiaa na mchungajii uko!! NYANYUKAA!! nikasimaama watu wakapigaa makofi[emoji122][emoji122][emoji122]
Mchungaji: Oooh! asanteh sana haya mwinginee anaetoaa million 2 kama mchangoo wa shughuli za kanisaa?? [emoji15][emoji15]
my frend nilizimiaa ndo nimeshtuka saa hivi [emoji18][emoji18]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 


Peleka m2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…