Mbute na chai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 564
- 593
inakuaje koz waliandika priority halaf nikos kabsa yaaan s2331/0027 not aquire loan for 2013/2014 wakat nimemchekia mwenzangu kapewa na koz hiyohiyo na chuo hicho hicho nit na waliandika possible loan ipo??
Kama ulimaliza 4m miaka miwili iliyopita, no loan
sio kweli mbona mimi nmemaliza 2007 nimepata
bora we wa 2007,mie wa 2003 mbona nimepata tena course yenyewe law an ni non priority.
hivi board wanaposema:The student with Index number 'S1117.0016.2006' did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year. wana maana gani ? kwasababu nikilog in napata ujumbe huu
ndo na mimi imeniandikia hivo hvo