ndo nimekosa mkopo au?

Wan jamvi
Inamaana wte hamjui hili=
You did not secure loan

Comes From Latin securus (“of persons, free
from care, quiet, easy; in a bad sense,
careless, reckless; of things, tranquil, also
free from danger, safe. Hivyo basi wana maana pesa zao hazitakua Mikono salama kukupa wewe!
 
loan board iishi milele, 99.99% ,kwel Mungu atukuzwe, wadau tunaomba elimu ya kuzitumia hizi hela,
 
duh sie tutakuwa tumepata 140% as posible ilikuwa 2600000 na wametugaia 3100000! kweli mungu mkubwa

Wakati wengine wanalia wengine wamezidishiwa.....hii bodi ya kishamba sana
 
mm na course yangu ya priority nimekosa mkopo..poor me

Pole sana kaka.....sijui kama nitakuwa nakosea kukwambia hili ntakalokwambia.....malipo ni duniani ndugu,umekufuru sana mungu kwa maneno yako ya kebehi na dharau humu jamvini,......mungu amekuonesha kuwa maisha hayapo kama tunavyodhani,wale wenzako wa HKL uliokuwa unawakebehi wamepata mkopo wa kutosha tu.....pole sana
 
unafkiri kukosa mkopo ndio sitosoma,nashukuru baba yangu anao uwezo wa kunilipia hapo chuo..kama alinilipia 2.5M ada ya shule basi hawezi kushindwa kunilipia 1.2M za hapo ARU..
 
unafkiri kukosa mkopo ndio sitosoma,nashukuru baba yangu anao uwezo wa kunilipia hapo chuo..kama alinilipia 2.5M ada ya shule basi hawezi kushindwa kunilipia 1.2M za hapo ARU..

Sikuongea kwa ubaya wala sikusema hutosoma,.umerudi mule mule una arogant ya hatari.....nimekuonesha tu mambo hayapo kama ulivyokuwa unadhani.....priority non priority ni status tuu ulishindwa kunotify hilo ukacheka mamba kabla ya kuvuka n'gambo saa hizi unaleta sizitaki mbichi hizi
 
unafkiri kukosa mkopo ndio sitosoma,nashukuru baba yangu anao uwezo wa kunilipia hapo chuo..kama alinilipia 2.5M ada ya shule basi hawezi kushindwa kunilipia 1.2M za hapo ARU..

Hahahaha nimempenda sana huyu aliekukamata jifunze ndugu....kudharau mamba kabla ya kuvuka mto ni ujinga sana kumbe ulishadharau watu na kombi zao....kama babako anao uwezo mbona uliomba mkopo?and again kma mzee anajiweza unacholis jf poor u ni nin?hela ya bum ina raha yake bana...yan hta mzee wako akupe sh. Ngapi wenye bum watakuzidi tu...nafurah wengi watajifunza toka kwakoo....holaaaa ndo ukomeeee
 
Nimekupenda sana ndugu yani umemkomesha....yan anadai mzee ana hela wkt bado analia jf kakosa bum...kula like elf kumi mkuu
 
Kwa IFM yeyote aliyesecure loan..

Nimelamba tution fee yoote pale IFM yani 1.5M, jumla ya hela yote ninayopewa na bodi n 4220500... Kweli Mungu mkubwa.. Program niliyopo ni accounts
 
Hongera sana..
2po coz moja ila ndo hivyo cna bahati

Usihofu ndugu, kama ipo ipo tuu.. Nawe pia waweza pata ukiappeal.. Usikate tamaa.. Hope 2 c 2kispend 2geza our BOOMz pale STEERS nxt month.. Good luck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…