Wafanye agricultural consultation kabla ya kuingia field na kuanza kujitutumua kwa kutumia maandiko ya inspiration ambayo mara nyingi hayana/hayaweki bayana changamoto watakazo kutananazo field.Una shauri nini mkuu maana hata wewe ni mtanzania mwenzetu saidia kuwashauri graduates nini wafanye kujikwamua maana maisha ya baada ya chuo sote tunayajua
Variety ipi hiyo inayopenda maji mkuu??!Kwa sasa maeneo ya pwana mvua zinanyesha,na matikiti yanapenda Maji,hivyo tegemea kuyaona ya kutosha sokoni,mda mzuri wa kulima tikiti Ni kuanzia mwezi wa saba!!
Wakuu nimeshangaa bei ya Matikiti Jana nilivyopita Sokoni na Kununua Tikiti kubwa kwa Tsh. 300/= tofauti na Maneno Mengi ya Kwenye Keyboard yanayosimuliwa na watu wengi ambao wamezaliwa Dar es Salaam ambako hakuna Shamba.
Tukitaka kutoka tufanye Kilimo kwa timing Ikiwemo Mazao ambayo unaweza kuhifadhi hata kama hauna Mteja Matikiti nyanya, Nanasi na Mbogamboga ni Vigumu sana kuyahifadhi.
Supply > Demand = Low Price
View attachment 508109
Huyo muongo, matikiti ya size ndogo 2000, ya kati 3000-4000 na makubwa 5000-6000 tena nimenunua Leo.Nimetoka kununua tikiti moja kwa 3500/- jioni hii.
Hiyo ya 300 wanauza wapi?