Ndoa bana..

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
Kwenye zizi la Ng'ombe, mke akawa anashangaa dume linavyopanda jike.
Akamuuliza dokta wa mifuko "Hivi hili dume hupanda mara ngapi kwa siku?"

Dokta akajibu "kwa wastani mara sita kwa siku "
Mke akamgeukia mumewe " Unaona! ...." Mume akajifanya hajasikia lolote.

Kisha akamgeukia dokta wa mifugo na kumuuliza, " Hivi hizo mara sita kwa siku huyu dume huwa analipanda jike hilo hilo? "

Dokta akajibu "Hapana, huwa anapanda majike tofauti...!!" Mume akamgeukia mkewe huku akitabasamu "Unaona! ....??"

We unadhania baada ya maongezi haya nini kilifuata?

Nawaza kwa sauti.....
 
Watu wengine sijui wanawazaga nin wakati mwingine mi najikuta nimeburudika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…