Kwanini anisakame ikiwa sitomng'ang'ania?
Ni kiasi tu cha kuwa mwelewa, hamna haja ya kung'ang'ania mahusiano na mtu ambae sipo nae kwenye ukurasa mmoja.
Binafsi siwezi kuingia kichwa kichwa kwenye ndoa,
Akishatoa mahari riheso lzm,then ndio nijiandae na pafomansi ndani ya ndoa,
Haya mambo ya kujidai nasubiri ndoa unaingia humo unaikimbia ndoa asubuhi ya hane muni.
kwanini ununue bidhaa mpya na kumuita fundi at ze begining, testng ndo mpango mzma!
Ngoja nikuombee dua halafu upate huo mtihani tuone itakuwaje reaction yako
mtoa mada,PMU ndo nin?
Na ni nani aliyesema mkazaane mkaongezeke mkaijaze dunia? watoto ndio kiunganisho cha ndoa na familia zenu, kwa sababu kama ulikuwa hujui mwanamke sio ndugu yako, ila watoto wakizaliwa ndio wanaziunganisha familia zenu.