ndoa bila sex

ndoa bila sex

mmzalendo

Senior Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
165
Reaction score
1
mimi jamani nilikua na swali?
kuna umuhimu gani kufunga ndoa kisha mnakorofisha
mnanyimana unyumba kwa zaidi ya miaka mitano
japo hakuna anayeshitukia dili katika familia lakini
nyie mambo yenu sio safi chumbani
kuna haja gani ya kuendelea kuishi pamoja kisa watoto?
 
mkuu ndio umemaliza hapo au tusubiri utafafanua zaidi?
 
Mazoea!Kama wote hawajali acha waendelee kubanana!Kama kuna anaejali achukue hatua!
 
Ndoa ni makubaliano, hata kama makubaliano yenyewe iwe ni ya kunyimana.
 
Wazazi wanapotengena watoto huwa wanateseka sana, ni bora wazazi watafute suluhisho la tatizo lao kwa kukaa chini na kuongea. Kama wazazi walipendana mpaka wakaamua kuishi pamoja na kuzaa watoto, kwann washindwe kukaa na kulitatua tatzo lao?
 
mimi jamani nilikua na swali?
kuna umuhimu gani kufunga ndoa kisha mnakorofisha
mnanyimana unyumba kwa zaidi ya miaka mitano
japo hakuna anayeshitukia dili katika familia lakini
nyie mambo yenu sio safi chumbani
kuna haja gani ya kuendelea kuishi pamoja kisa watoto?

nn sababu ya kukorofishana hadi kufikia kunyimana?
 
Dah! Mwezi tu inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sasa hawa miaka mitano DUH! Ama kweli ndoa moja ni tofauti kabisa na ndoa nyingine.
 
nimeamini Tv ni 1 macho kila mtu na yake.Mie siiwezi ndoa ya sampuli hii
 
Dah mwezi tu ni kazi??Nwy wenyewe unaweza kuta wameshazoea bila!

Lizzy ndiyo maana nikasema ndoa moja ni tofauti kabisa na nyingine. Mnaishi nyumba moja wote mpo nyumbani halafu mnakata miaka mitano bila kunanihii! wala hakuna matatizo ya kiafya ya wahusika ndani ya ndoa. Duh! njemba nyingine vikao vya kushirikisha pande zote mbili vingeshafanywa sana tu ila kutafuta namna ya kutatua tatizo lililopo.
 
Ila kwa mwezi inavumilika bwana!Miaka ndo ngumu!
 
Dahh hii imenisisimua..
ngoja niangalie calendar narudi...
 
Mnaishi tu, kila mtu atatafuta pa kuchakachuliwa.
 
nn sababu ya kukorofishana hadi kufikia kunyimana?

sababu za kukorofishana sina hakika lakini
moja ni jamaa na uwezo mdogo kipesa kuliko mama
na hilo ndio chimbuka la matatizo hapo ndani
ya wezekana maza hataki kumvulia tena huyo mtwana
 
kwa mazoea yangu hata siku moja
itakua ngumu labda kuwe na ka house girl
 
Asikudanganye mtu bwana mdogo, ndoa ni 'kutwangana' tu hakuna cha zaidi. Kama kinu na mtwangio havitumiki basi hiyo siyo ndoa. Hao ni kaka na dada.
 
Back
Top Bottom