senks mkuu. nazani jibu la mwanafunzi wangu lizzy kwenye post nambari 3 limebeba ujumbe mzito.nimemaliza kama swali hilo hapo chini
mimi jamani nilikua na swali?
kuna umuhimu gani kufunga ndoa kisha mnakorofisha
mnanyimana unyumba kwa zaidi ya miaka mitano
japo hakuna anayeshitukia dili katika familia lakini
nyie mambo yenu sio safi chumbani
kuna haja gani ya kuendelea kuishi pamoja kisa watoto?

Dah! Mwezi tu inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sasa hawa miaka mitano DUH! Ama kweli ndoa moja ni tofauti kabisa na ndoa nyingine.
Dah mwezi tu ni kazi??Nwy wenyewe unaweza kuta wameshazoea bila!
Lizzy ndiyo maana nikasema ndoa moja ni tofauti kabisa na nyingine. Mnaishi nyumba moja wote mpo nyumbani halafu mnakata miaka mitano bila kunanihii! wala hakuna matatizo ya kiafya ya wahusika ndani ya ndoa. Duh! njemba nyingine vikao vya kushirikisha pande zote mbili vingeshafanywa sana tu ila kutafuta namna ya kutatua tatizo lililopo.