Napita hapa shinyanga na muda huu nakuta mzinga arusi, Bwana arusi umri miaka 79 na ni mhubiri na bi arusi afisa mmoja wa serikali. Imefana na waungwana wanashangilia ile mbaya. Kwa wazungu huwa style hii maarufu. Hapa uzoefu ukoje?
khaaaaaa ntoto atatokeaa!!!!af atakiita nani hiko kibabu?
Wee Mzee?tatizo vijana wengi wa siku hizi mdebwedo sasa kama babu ngangari wache alambe kimwari vijana wenyewe mumeregea ubishoo mwingi munajuwa kunywa bia na kucheza mziki tu.
Napita hapa shinyanga na muda huu nakuta mzinga arusi, Bwana arusi umri miaka 79 na ni mhubiri na bi arusi afisa mmoja wa serikali. Imefana na waungwana wanashangilia ile mbaya. Kwa wazungu huwa style hii maarufu. Hapa uzoefu ukoje?
Wazee wengine banaaJamaa anategemea kutumia Viagra mpaka lini? asije overdose ikamuua.