Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
mwenzetu..haya mambo ya mitala tuwachie wenyewe. Wanajua wanachokipata humo. Wengine ni hifadhi tu lakini wana wapenzi wao wa pembeni kama kawa.Waulize wazaramo wataku darasa POL 100.
Wapenzi wa jamvi hili,
Nimekuwa nikijiuliza sana hivi ndoa za wake wengi mfano wanne hata kama ni halali kisheria huwa zina upendo na mapenzi ya dhati kweli miongoni mwa wanandoa? Mimi naona lazima mume atampenda sana mke mmoja kuliko anavyowapenda wake wengine watatu. Vilevile, lazima mume awe na mapenzi kidogo kwa mke mmoja kuliko wengine watatu. Mnasemaje wadau?
Wazaramo wakikusikia!mwenzetu..haya mambo ya mitala tuwachie wenyewe. Wanajua wanachokipata humo. Wengine ni hifadhi tu lakini wana wapenzi wao wa pembeni kama kawa.Waulize wazaramo wataku darasa POL 100.
Itakuwa fair kwa jamaa wa misri... Je ni fair kwa hao madadaAcheni wivu bwana, sasa kama yule jamaa wa Misri mwenye maguvu kama kifaru akiwa na mke mmoja si itakuwa balaa? ni afadhali yeye anayeoa wanne au sita wakajulikana kuliko anayeoa mmoja then anapanga nyumba ndogo kumi!
Acheni wivu bwana, sasa kama yule jamaa wa Misri mwenye maguvu kama kifaru akiwa na mke mmoja si itakuwa balaa? ni afadhali yeye anayeoa wanne au sita wakajulikana kuliko anayeoa mmoja then anapanga nyumba ndogo kumi!