Ndoa Hii Inaweza Kuvunjwa??



Msingi wa Ndoa ni tendo la Ndoa,
kama hakuna tendo la ndoa hapo hakuna ndoa.
kwa maana hiyo hiyo ndoa ni batili kwa msingi wa madhehebu ya kikristo.





 

zamani lilikuwa ni tatizo dogo tu, kwa miaka hii sijui, ila wewe katavi ulitakiwa mara moja ufanye kazi ya jamaa yaani ya kuongeza kizazi, la sivyo asingekufuata wewe. la maana tunzeni siri ya mwenzenu, wewe kula vitu, sisi tunachotaka ni wajukuu tu, mengine ni bla bla tu.

 
..........For this reason (or for other reasons that render the marriage null and void) the Church, after an examination of the situation by the competent ecclesiastical tribunal, can declare the nullity of a marriage, i.e., that the marriage never existed. In this case the contracting parties are free to marry, provided the natural obligations of a previous union are discharged. -Catechism of the Catholic Church #1629..........

Kuna maelezo mengi wikipedia
 
Jibu liko wazi,kama mkd hawezi kuishi nae waachane,kwenye masuala haya busara itumike!
 
inaelekea huyo jamaa aliyeoa ana tatizo la kuzaliwa, na alikuwa analijua. Amefanya utapeli kwa huyo dada na hakumweleza ukweli,tunaambiwa usifanye tendo la ndoa kabla hujoa ukifanya hivyo ni unazin,hii inamaanishe ndoa ni tendo,kwenda kanisani ni kuhalalisha au kuipariki mbele ya Mwenyezi MUNGU ili kuipa kibali,kama hamna tendo hamna ndoa hapo. Huwezi kuchukua bint wa mtu ukaishi nae halafu unajua huwezi kumpa tendo la ndoa, unamchukua kwa makusudi unalala nae huku unamshikashika unamtia mihemko kila siku halafu iweje?si bora angemwacha bint ajichukulie uamuz wake hata kama kuwa sister?hv huyo bint akiamua kutoka nje nan atalaumiwa,huyo aliyemua anamtia majaribun bint wa watu,kam alijua analo tatizo na hakuwa mkweli kwake mbele ya kanisa hiyo ndoa inavunjwa,labda tu hilo tatizo lingekuwa limetokea baada ya kuaona hapo ingeapply kuvumilina ktk shida.
 
Hii thread imenifanya nijiulize maswali mengi ya ziada........hivi ikitokea mkajikuta mna sexual organs ambazo si compatible!! mfano tu. inakuwaje?? au ndo kuvumiliana huko?
 
Hii thread imenifanya nijiulize maswali mengi ya ziada........hivi ikitokea mkajikuta mna sexual organs ambazo si compatible!! mfano tu. inakuwaje?? au ndo kuvumiliana huko?

Same case MJ1...ndoa inakua haipo....unazungumzia bolt kubwa kuliko nati?:coffee:.....
Kama shemale wana-exist....siku unaoa unakuta ni bolti na bolti.....
 
Hiyo siyo ajabu kwani hakuna tatizo ambalo ni jipya hapa duniani. Utatuzi wa matatizo unawezajuwa mpya.
Napenda umwambie binamu yako kuwa ndoa kama hizi ziko nyingi tu na wanishi kwa amani bila watu wengine kujua. Cha muhimu hapa ni wao kukaa chini na kulijadili hili tatizo na kupata ufumbuzi. Hii nakupa tuu kama moja ya utatuzi-wanaweza kukubaliana ndugu yake mwanume aliyemzima akwaleta watoto.

kwa herii
 
Same case MJ1...ndoa inakua haipo....unazungumzia bolt kubwa kuliko nati?:coffee:.....
Kama shemale wana-exist....siku unaoa unakuta ni bolti na bolti.....

Lol RR aksante naomba nisiulize zaidi nimeridhika na jibu lako Mkuu
 
Huo ushauri ulioutoa tumeujadili katika ngazi ya familia lakini binti mwenyewe amekataa pamoja na ndugu wengine. By the way nimependa jina lako!
 
Asante RR kwa maelezo yako, nimejifunza mengi!
 
Ahahahahaaah!! Tafadhali mkuu mila zetu haziruhusu....
 
Ni kweli jamaa alifanya utapeli.....
 
wale wote wanaosema kuwa ni vema kuonjana kwanza wana mawazp finyu, sijui dada yako naye akifanyiwa hivyo alafu aache utajisikiaje? JIBU la msingi kabisa, ni kwamba kwa mujibu wa sheria za ndoa za kanisa katoliki, ndoa inaweza kuvunjwa (wanatangaza kwamba ni ndoa batili- ) kwa sababu nyingi za msingi hiyo ikiwa mojawapo. Kisheria inatakiwa kwamba ule usiku ambao wanandoa wamefunga ndoa wakutane kimwili kukamilisha ndoa hiyo. Kama tendo hilo halikufanyika kwa makusudi, na mmoja aliyetendewa akaamua kwenda kushitaki kwamba hakutimiziwa tendo la ndoa kwa makusudi na bila sababu, ndoa inaweza kuvunjwa hata kama aliyekataa hana tatizo la kiafya.
Lakini kwa kisa alichosema ndugu yetu, huyo dada aende kwa paroko wake akaeleze kila kitu na ndoa itavunjwa kwa sababu jamaa hakusema ukweli kwamba ana matatizo ya nguvu ya kiume na huo ni uongo
 
Ipo katika hatua za kuvunjwa...
 
Aiwezi kuvunjwa ata kidogo kwa sheria za kikatoliki labda madhebu mengine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…