embu madaktari mtupe muongozo,hizo mood swings zinakuwa throughout pregnancy ama miezi ile ya mwanzo tu????nahisi mnacoment kihisia zaidi na kuonyesha sympath kwa huyo mama mjamzito ignoring the fact she is giving hard time mwenzie na nyumbani pamekuwa living hell for him!..........................
Ngoswe mie nahisi nyumbani kwenu hamna communication nzuri,hamuongei kama couple nyingine zinavyofanya kutafuta suluhu,huyo bibie nahisi anataka tu more attention kutoka kwako au kuna jambo amelisikia kuhusu wewe au kuna jambo umelifanya hakufurahia na anashindwa kukuambia moja kwa moja,kununa inabakia kama njia yake ya kukufikishia ujumbe.usimuignore tafadhali kama unavyofanya endelea kumuonyesha upendo/kumjali...kumpa lift.......ila vunja ukimya tafuta jioni moja mkishapata chakula ongea naye kwa upole muulize tatizo nini,usiongee naye kama tayari umechaweka conclusions zako au kwa kumkaripia....ongea naye ukionyesha kujali hisia zake na kuonyesha bado unampenda na unatafuta suluhu ya maisha yenu....lazima atafunguka......na next time mkigombana sio kila mtu anune ashike lake....jaribu muwe mnaongea mara kwa mara na kumaliza tofauti zenu......nachoona hamna communication kati yenu na msipoliaddress hili hata baada ya pregnancy bado mtakuwa na tofauti zisizoisha....all the best.