Ndoa inanishinda, naomba mnishauri kisheria

Una watoto wamgapi na kwanini unaohopamku,wacga mbona anataka kuachwa huyoo au ongeza mke mwingine atakuwa na adabu
 
Kwanz
A si kweli kinamkiyu anakifocha uoe wewe halafu mke akake kwa wazazi wako kulikoni wekamwazinkama una mke wmingine
 
Nadhani tatizo limeanzia ulipoiacha familia kwa wazazi wako, kukwepa kumdhiti mkeo na kuwaachia huo mzigo wazazi wako/mama yako
 
Kuna kitu kinafichwa hapa wewe mtoa mada umeeeleza as if mkeo kawa mwehu na kuanza kuyafanya hayo yote uliyoandika ila umesahau kutueleza ni chanzo cha kuwa hivyo na mara nyingi chanzo kikuu ni wewe(mume)
 
Matatizo mengine tunajitafutiaga; kwa nini asikae na mkewe?
 
Huu ushauri sio kabisa.
Kumshauri jamaa akuli kuendeshwa na wazazi wa mke!!
Pili inaweza kuwa shida ni mama yake mleta mada hii.
Inaweza kuwa huyu jamaa maisha yake ya ndoa yanaendeshwa na mama yake. Kama ni hivyo mwanamke yeyote hawezi kukaa nae kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…