Mmh inabidi nivunjwe moyo kila siku ili niendeleze points! Back to topic...naweza kuelewa mdada akisema kwamba pamoja na vituko vyote hivyo mwanaume anamjali.Kama hajawahi kupendwa wala kupenda tena itamuwia ngumu yeye kuona anachofanyiwa hastahili na kuondoka ikibidi!Dada mtu anaekujali hawezi kukufanyia uliyosema hapa..Leo una point...ni kweli jamaa alichukulia kuwa mdogo (23-6=17)
Tangu waniongezee mshahara kazini nimejikuta naongea mapointi mimi mwenyewe najishangaa! , kweli umaskini unafelisha form 2. khaaa!Dah tangu nikufahamu sijawahi kukuona umeandika bonge la point kama hili. Leo umeamkaje lakini?? Unakunywa kinywaji gani?? Nidai chupa zaidi ya kumi . Serious....................
mmwage ili baadaye umkumbuke..wewe ni USED alafu utaenda kwa USED:disapointed:.. lipi bora?
Tangu waniongezee mshahara kazini nimejikuta naongea mapointi mimi mwenyewe najishangaa! , kweli umaskini unafelisha form 2. khaaa!
bek to topik.
Mmh inabidi nivunjwe moyo kila siku ili niendeleze points!
Leo una point...ni kweli jamaa alichukulia kuwa mdogo (23-6=17), ili aweze kuwa na heshima tu ya ndoa lakini aendeleze tabia zake, kwa sababu alijua huwezi kumwambia kitu.
Ushauri ni hakikisha sasa unachukua hatua, lazima ajue kwamba ENOUGH is ENOUGH, simamia ndoa yako, washirikishe wazazi na washenga..(ikiwa mlifunga ndoa halali)
Moyo umevunjika, ndoa imekushinda au?.. Naona ni kweli moyo uendelee kuvunjika tu-enjoi mapoints
Mapenzi ya kulazimisha mapenzi gani hayo. Raha ya mapenzi kupendwa na kuenziwa na anayejiheshimu.
Ukigundua mkeo malaya utaendelea kumpenda tu kunusuru ndoa isivunjike? Mpende mwenzio kama unavyojipenda wewe so mpe ushauri unaostahili kwani mwisho wa siku mtu halazimishwi kutekeleza kila analoshauriwa.
Behind every cheating there is a reason. kuna kesi hapa JF tulizishuhudia kwamba kuna watu hawacheat kwa kupenda lakini labda pengine jogoo wa baba mwenye nyumba kagoma kwa miaka nane hivyo mdada hormone za kibaiolojia zimemzidi anaamua kwenda kuzituliza. In this case hata kama cheating haikubaliki lakini inaeleweka. Kuna suala la nyongeza, Mheshimiwa mbunge wa viti maalum ndugu Chauro?sijakuelewa hapa umeshauri atapelekewa virusi,hapo kwenye red mbona umeharibu au ukifanya bila kukamatwa hamna virusi.
habari wana jamii forms, napenda mawazo yenu na michango mnayotoa humu,,mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 23
naomba msaada jamn,nina mume ambaye nipo nae kwa miaka sita na nimezaa nae mtoto mmoja, kiukweli huyu kaka ni malaya cna kutokana na tabia yake hapo nyuma kwani aliowa wake 2 kabla yangu na wakaachan akidai hawafai walikuwa na tabia mbaya
ameshanisaliti mara nyingi sana mpk sasa na ushahidi nikapata lkn aliomba msamaha coz nlikuwa bdo nampenda tukaendelea na maisha,,
hivi sasa kanikataza kushika simu yake yaani tunagombana kila siku, kuna siku nilikuta kamtumia binti fulani pesa kwa njia ya m-pesa nilipomuuliza ni nani tuligombana cna akadai ni mama wa mtoto wake,, lakini nilichunguza nikakuta ni uongo kwani namba ya mzazni mwenzake naijua na hawezi kumuita mpenzi kwani huyo mzazi mwenzake keshaolewa,,
nilimpigia huyo binti nikamuuliza yeye ni nani lakini matokeo yake alinitukana akaniambia sijaona wanaume nini???akasema yy hakumtongoza mume wangu bli mume wangu ndiye aliyemtongoza kiukweli niliumia cna nikalia mpaka nikachoka,,nikataka nirudi kwetu lakini nikaenda kwa mama mmoja rafiki wa familia akanishauri nisiondoke nikae nivumilie,,
kwa upande mwingine huyu mume wangu ananijali na familia kwa ujumla lakiniatatizo ni umalaya,,
natamani hata nitoke jne coz na mm najijua ni mzuri bado nafikiria nahitaji mawazo yako.
mie mwenzio pia nimeshachoka kuckia hizi vumilia vumilia, tunauana hivi hivi kwa ajili ya huyu "vumilia"...nadhani wanaosema hiyo vumilia hawajui ni kiac gani mwanaume wa hivi anavyokosesha amani ndani ya nyumba, leo utamshika na hili kesho na lile hakuna amani ni mawazo na presha za kuletea magonjwa....wanawake hebu tuamke jamani..
sasa hao ndio ma sterling wa hiyo "vumilia" utaambia kuolewa bahati mwanangu cjui wengine wanatafuta ndoa hawapati, cjui ki2 gani na ki2 gani so mwanangu wee vumilia tu, i hate hilo neno mpaka bac, nivumilie niifurahishe jamii huku nafc inalika?...kila kitu kina kiac jamni, hata uvumilivu una mwisho wake, kila ndoa uvumilivu unahitajika kiac kikubwa, huku ndani tunavumilia mengi ndio mana bado tunazo hizo ndoa, hakuna ndoa icyo na mapito lakini kila kitu kina kiac, mdada mtoa mada chekecha akili yako mapema hii, ukiamka kesho Mungu akujalie uwe umepembua hiyo akili na kujua unataka nn maishani au unataka kuishi nmaisha hayo hayo au unahitaji mabadilko....goodluck!
kasema anampenda na anajali familia we unataka kuwatenganisha nimeshindwa kuelewa mtu anayekujali anakuwaje tena malaya.
hehehe supu la utumbo tu litatosha!Nimekusoma mkuu bonge la point umeongea.................................
Kinywaji gani kama juice sema nianze kutengeneza fresh..........................sitaki kukupa za mabox......................
yani kama ulikuwa moyoni mwangu,tena sikiliza mwisho wa siku chukua maamuzi yako mwenyewe....ndoa ni watu wawili na wewe ndo unajua unapitia mapito gani ukianza kuweka third part nakwambia mambo lazima yawe mabaya kuliko unavofikiri ,mlikubaliana wenyewe kuishi pamoja na kwenye hili lazima mkae chini kuwekeana misimamo yenu ya nini mnataka na nini hamkitaki kulinda ndoa yenu.
Behind every cheating there is a reason. kuna kesi hapa JF tulizishuhudia kwamba kuna watu hawacheat kwa kupenda lakini labda pengine jogoo wa baba mwenye nyumba kagoma kwa miaka nane hivyo mdada hormone za kibaiolojia zimemzidi anaamua kwenda kuzituliza. In this case hata kama cheating haikubaliki lakini inaeleweka. Kuna suala la nyongeza, Mheshimiwa mbunge wa viti maalum ndugu Chauro?
chauro...wewe acha tu hizi ndoa zinatutafuna kweli, mie nimemshauri akae chini ajipange ajue kaam ndio maisha anayoyahiytaji hayo au anataka mabadiliko, kama bado anapendwa bac atulie na awe tayari kwa lolote..
Alicho kiunganisha Mungu binadamu asikitenganishe labda uwe katika imani ile ya upande mwingine.