lakini bado nipo na wewe hii case yako ni moja kati ya case kumi za cheating ambazo nimesikia,ivi unawezaje kujustify cheating it is not acceptable at all unaonekana huoneakani umekamatwa hujakamatwa bado risk ya kupata magonjwa ipo pale pale.
Mwanamke anavumilia ila mwanaume havumilii...hata mama ako hili analijua ukienda Pasaka muulize.
Hakika nawaapia enyi akina mama msio kuwa na moyo wa kuvumilia Ndoa zenu zinawashinda.
Mwanamke mwema anaijenga Ndoa na kuirutubisha lakini mwanamke mwenye macho mengi huibomoa ndoa yake.
Sawa. Pia Mungu huyu huyu kasema atawapa wale mnaofanana nao kimatendo. Kama wewe si malaya na una mwenzi malaya jua hajatoka kwa Mungu, muvu aut.
naelewa kabisa kabisa, hata yeye alivumilia yakamshinda, alikuwa na mume kama huyu huyu, yalimshinda akanyanyua mikono juu akatulea wanae...so naelewa ataniambia/anatuambia tuwe tunackiliza mioyo yetu na uvumilivu ni kitu cha muhimu pia lakini yakinishinda hapo tena ctakuwa na mjadala...mie nilioana na huyu msukuma kwa shida na raha lakini sio kwa mateso/manyanyaso/uzinzi...kimoja kikazidi hapo uvumilivu nao una kiac so ntafata akili yangu itakavyonituma kwa wakati huo....
kuvumilia mpaka visivovumilika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! tunavumilia sana tu nyie hamjui fanyeni research zenu mjue jinsi gani wake zenu wanawavumilia.
NA WABARIKIWE WABABA WOTE WENYE KUHESHIMU VIAPO VYAO VYA NDOA !
Kabla ya kuoana kuna vipindi vingi vya mpito kama Kutongozwa kwanza kabla ya uchumba ukisha tongozwa na kulishwa maneno matamu na mazuri unajua mm ndo mwenyewe alafu kuna kipindi cha kuchunguzana yaani ni hatua mpaka kwenda kutambulishana kwa wazazi hapa unakuwa tayari umesha ridhia kuwa hiki kidume nitaishi nacho sasa iweje baada ya miaka 6 unione mm malaya na unataka kunitosa? Wkt kabla ulisha ridhia mm nikuoe na umesha ijua tabia yangu ni kumega mega
tukiijustify au tusiijustfy, cheating is there to stay! sasa ninachoongelea kwamba kwa mantiki ya kuumizana hisia cheating haikubaliki, lakini cheating hiyo hiyo inatumika kwa mantiki ya kutuliza hisia. kumbuka, hisia ndizo zinakutuma uowe au upende na hisia hizo hizo ndizo zinakutuma ucheat, sasa hapo ndio balaa!. All in all waaminifu ni wachache sana hii dunia ya leo, hapa JF usishangae pengine waaminifu tuko watatu tu, mimi, Mbu na Aspirin.hahaha kweli we klorokwini umenichekesha mpaka mbavu zinauma.embu tupe dawa ya mume mzinifu basi
lakini bado nipo na wewe hii case yako ni moja kati ya case kumi za cheating ambazo nimesikia,ivi unawezaje kujustify cheating it is not acceptable at all unaonekana huoneakani umekamatwa hujakamatwa bado risk ya kupata magonjwa ipo pale pale.
hehehe supu la utumbo tu litatosha!
...DUUUHHHH! Ngoja nianze kuwafanyia sensa wataosema AMEN!
tukiijustify au tusiijustfy, cheating is there to stay! sasa ninachoongelea kwamba kwa mantiki ya kuumizana hisia cheating haikubaliki, lakini cheating hiyo hiyo inatumika kwa mantiki ya kutuliza hisia. kumbuka, hisia ndizo zinakutuma uowe au upende na hisia hizo hizo ndizo zinakutuma ucheat, sasa hapo ndio balaa!. All in all waaminifu ni wachache sana hii dunia ya leo, hapa JF usishangae pengine waaminifu tuko watatu tu, mimi, Mbu na Aspirin.
Very good point. Back to the topic, mleta mada kaolewa akiwa na miaka 17, je unashani alipitia vipindi vingi vya mpito kabla ya uchumba na ndoa.
Kumkimbia mme na kumwacha sio kutatua tatizo unamkimbia mwanaume mlevi unakuja kupata mzinzi au mwenye manyanyaso tatua tatizo talatibu utazoea nakuona jambo la kawaida....cha muhimu ni uvumilivu tu.
Amen kaka, Amen, Amen ubarikiwe sana wallah, Jazzakallah!
Yeah huyu dada kabla ya kuolewa huyo mmewe alikuwa tayari yupo kwenye transition period kutoka mke wa kwanza kuja wa pili na kipindi yupo na wapili akawa anammendea huyu dada na kwa vile alikuwa bado mdogo na uhakika chipsi kuku na soda/redds vilimtamanisha kuishi na huyo mmewe na akajiona kuwa yeye ni mke bora kuliko huyo wa pili akaamua kuolewa na huyo jamaa baada ya kumhakikishia kuwa mke wa pili anamtema. Kwa vile amesha poteza radha kwa huyo jamaa ndo maana sasa anamwona jamaa malaya kama umalaya jamaa alisha ufanya kabla hajamwoa huyu binti.
kulikuwa na baba na kaka zako pia...nashukuru kwa ushauri wenu dada zangu mlionishauri niongee nae pia nivumilie mungu awabariki cna