Kweli kabisa mkuu maana kuna wanaume wamewaachia mama zao waongoze nyumba zao mpaka huruma<br />
ninapenda mwanaume mwenye msimamo kwa kweli, kuna dada angu mumewe alikuwa anaambiwa na dada<br />
ake eti kilaukifika nyumbani tu unaenda kukaa chumbani na mkeo, na sie tunataka kuongea na wewe<br />
yule shemeji alimjibu kama unamwona anafaidi kuongea na mimi njoo na wewe tuongee, ilikua kesi kubwa<br />
lakini meseji ilifika wakakoma, sasa dada anaishi kwa amani