Wana JF nawasalimu!!
Katika taratibu za kuoa kuna za kidini, kikabila na kiserikali lakini ninachozungumzia hapa ukizingatia faida na hasara, unapendekeza ipi na kwanini, ndoa ya mume mmoja/mke mmoja lakini nyumba ndogo kwa siri. au mume mmoja/wake wengi kwa uwazi.
Tuchangie faida na hasara ili tuelimike wengi. Asanteni.