ipo siku huyo m.me atashtuka tu,huwezi kumdanganya m.me kwa muda mrefu hivyo.hata awe zoba kiasi gani.za mwizi arobaini,au huyo mwanamke ndio mlishaji kwa huyo mume ambae hajui?na hiyo si ndoa,huyo mwanamke anaidanganya nafsi yake
Kisukari itakuwa umepitia M.A.V....na unakufahamu Changarawe..hehe,wanaojua na kutumia neno mlishaji tunafahamiana.
Kwema lakini?
Thanks. Kusema "Mlishaji" una maana gani?? Sidhani kama atabanwa na huyo mume>>> alishatengeneza mazingira ambayo mume wake wa kwanza anamwamini tu.
mmh,kwa kweli huko unakokusema sikufahamu kabisa.na sijaelewa ulivyoandika M.A.V,jee umemaanisha nini?.